Jipatie kitabu kizuri cha Haufanani nao

Je unajua kitu, kinachokuzuia wewe usifanikiwe? Kinachokuzuia wewe ni tabia yako ya kutaka kufanana na wengine.

Kule kutaka kufanana na wengine, kunazalisha wivu ndani yako. Na pale wivu huo unapokuwa ndani yako, utataka uwaangushe wengine ili uwe juu .

Wewe hutakiwi kujifananisha, na yeyote yule. Unatakiwa kujijua wewe ni Nani, na haufanani na yeyote kwa sura, umri, na hata alama za vidole vyako .

Utawashangaza watu Kama utataka kufanana na mti. Maana kule kutaka kufanana na mti kutaketa wivu ndani yako, kwanini huna rangi ya kijani?

Hapa kuna kitabu, kitakachoenda kukutambulisha, wewe ni wa kipekee kabisa, na hutakiwi kujifananisha na chochote kiwe ndege, dhahabu na hata watu wengine.
Kujifananisha na wengine ni kujitafutia mateso.

Mambo tisa utakayoyapata kwenye kitabu.

1 Ukiwa na malengo ya kufanikiwa kwenye Jambo lolote lile, hakikisha unakuwa na tabia sahihi. Tabia ndiyo itakayovuta watu sahahi kuja kwako.

2 Ulivyo ndivyo ulivyochagua,ukiwa masikini, tajiri unahusika . Utajifunza jinsi ya kujiandaa ili upate yale matokeo unauoyataka.

3 Kinachokurudisha nyuma ni maarifa kidogo uliyonayo.Utajifunza namna ya kukuza maarifa hayo ili yasiwe tena kikwazo kwako.

4 Umejichelewe kwenye maendeleo yako kwa kutaka kukamilisha kila kitu ndiyo uanze biashara yako, ujenzi wako.

5 Tabia mbaya inayokuponza na kukurudisha nyuma ni kuairisha mambo yako.

6 Utajifunza jinsi majaribu yanavyo mtaji wa kupanda viwango.

7 Unaweza kujua jinsi mafanikio kidogo anayopata mtu yanavyokuwa kikwazo kwake kukua zaidi .

8Utajua mshahara wako jinsi unavyoweza kupoteza kuzifikia Ndoto zako.

9 Utajifunza kufikiri kunavyoweza kukuondoa kwenye utumwa wa kutawaliwa na wengine.

Kwa kupata kitabu hiki, utaweza kuyapata mambo haya tisa kwa kina pamoja na mifano mbalimbali. Kimekupa hatua za kuchukua ili ufanikiwe kwenye safari yako.

Kitabu hiki unakipata popote ulipo kwa nakala tete (soft copy.) Kwa sh 10,000.

Kukipata tuma pesa kwenda namba 0755034751. Jina Emanuel mcharo.
Ukishatuma pesa yako tuma pia email yako .
Asante na karibu sana.

Leave a comment

Design a site like this with WordPress.com
Get started