Jipatie nakala ya kitabu chako sasa

Je unayajua mambo yanayokunyima uhuru wako? Hapa nimekuandalia kitabu chenye mambo sita unayotakiwa kuyajua ili uwe huru.
kitabu kimetumia mifano mbalimbali itakayokufanya uelewe zaidi kuhusu vifungo hivyo na jinsi ya kuviepuka.
Kwenye sehemu ya kwanza utajifunza kwa undani mambo manne yanayokufanya uwe kifungoni na jinsi ya kuondoka kwenye vifungo hivyo.
Sehemu ya pili utajifunza maana ya mafanikio.
Sehemu ya tatu utajifunza matendo mema yalivyo na nguvu ya kuwabadilisha wengine.
Sehemu ya nne utajifunza na kuijua nguvu iliyopo pale unapowasikia wengine.
Sehemu ya tano utajifunza zaidi kile kitakachokufanya uwe na maendeleo endelevu.
Sehemu ya sita utajifunza nguvu iliyopo kwenye kumaliza Jambo lolote ulilolianzisha.
Haya ndiyo mambo sita utakayoyapata kwenye kitabu hiki cha UHURU WAKO NI HAKI YAKO YA KUZALIWA.
Kitabu hiki kiko kwenye nakala tete, na utakipata kwa sh 5,000. Tuma pesa kwenda namba 0755034751.
Jina Emanuel mcharo.
Ukishatuma pesa yako tuma email yako pia.
Karibu sana.

Leave a comment

Design a site like this with WordPress.com
Get started