KILA JAMBO KWA WAKATI WAKE:

Kila unapopanda daraja la juu kwenye maisha yako, waheshimu wale walio kwenye daraja la chini. Maana uliyo juu leo tambua kuna watu waliamua kukubeba kwenye mabega yao. Leo unaweza kuona mbele, kwa kuwa uko kwenye mabega ya watu walioamua ukanyage mabega yao. Waheshimu sana watu hao maana wakikususa, lazima utajikuta chini na huo ndiyo utakuwaContinue reading “KILA JAMBO KWA WAKATI WAKE:”

MAISHA NI NINI?

Maisha ni kuumba. Unaweza kuipata maana halisi ya maisha yako ikiwa utaamua kuitengeneza maana hiyo. Maisha ni kama shairi linalosubiria kutungwa. Maisha ni wimbo unaotakiwa uimbwe, ni mziki unaotakiwa uchezwe. Maisha kama maisha hayana maana, maisha ni fursa ya kutengeneza maana. Maana hiyo haitakuwa kitu kinachotakiwa kuvumbuliwa. Bali maisha ni kitu kinachotakiwa kiundwe. Maana yaContinue reading “MAISHA NI NINI?”

Changamoto zile tunazopitia,ndiyo zenye uwezo wa kutufanya tukue.

Kile kinachoendelea kukuzunguka kwenye maisha yako kisiwe kikwazo kwako. Pale unapoenda baharini, unaweza kuyaona mawimbi maelfu kwa maelfu. Lakini kwenye vilindi vya bahari hiyo kunakuwa na utulivu na ukimya mkubwa. Mawimbi yote huonekana kwenye uso wa bahari tu. Zama ndani yako kwa tahajudi na sala, maana mahangaiko na misuguano ni kwa nje tu, ndani yetuContinue reading “Changamoto zile tunazopitia,ndiyo zenye uwezo wa kutufanya tukue.”

Jipatie kitabu kizuri cha Haufanani nao

Je unajua kitu, kinachokuzuia wewe usifanikiwe? Kinachokuzuia wewe ni tabia yako ya kutaka kufanana na wengine. Kule kutaka kufanana na wengine, kunazalisha wivu ndani yako. Na pale wivu huo unapokuwa ndani yako, utataka uwaangushe wengine ili uwe juu . Wewe hutakiwi kujifananisha, na yeyote yule. Unatakiwa kujijua wewe ni Nani, na haufanani na yeyote kwaContinue reading “Jipatie kitabu kizuri cha Haufanani nao”

USHINDI NI LAZIMA KWAKO USIKATE TAMAA:

Inawezekana uko kwenye hali ngumu, na unafikiri hakuna tena tumaini. Ni kweli inaweza kufikiriwa hivyo. Lakini pale unapotambua kuwa Unatakiwa uwe kwenye hali nzuri, unapata nguvu kubwa ya kupambana. Tuchukulie umeteguka mguu, na akatokea mtu anakuambia kimbia. Utaanza kujitetea jinsi gani huwezi kukimbia,na hata watu wanaweza kukutetea kulingana na hali wanayokuonanayo. Lakini hapo hapo katikatiContinue reading “USHINDI NI LAZIMA KWAKO USIKATE TAMAA:”

KUANGUKA SIYO MWISHO WA SAFARI:

Karibu rafiki  yangu kwenye makala yetu ya leo. Leo tunaenda kuangalia kwanini tunapitia kwenye nyakati ngumu.Nyakati ngumu zimekuwa ndiyo mwalimu mkuu kwetu. Pale unapopitia nyakati ngumu zinakufanya ufanye maandalizi ya  kubeba majukumu yako yatakayokuwezesha kufikia mafanikio yako Watu huwa hawajali sana kile unachokisema,bali hujali kile unachokifanya.Hakuna mtu anayetaka kuwa masikini,hakuna anayetaka kuteseka. Kila mmoja wetuContinue reading “KUANGUKA SIYO MWISHO WA SAFARI:”

WEWE NI KIONGOZI WA MAISHA YAKO:

Karibu  sana rafiki yangu kwenye blog yako ya mshindi. Kamwe kwenye maisha yako usisahau wewe ni baharia wa meli yako.Jambo la kuwa kiongozi wa Maisha yako ndilo linalokufanya uhitaji kujifunza kila siku ili uweze kukua zaidi. Baharia kipindi anajifunza  kuiendesha meli lazima ajifunze kuyazoea mawimbi ya maji.Azoee hali mbalimbali za mabadiliko ya hali ya hewa.AweContinue reading “WEWE NI KIONGOZI WA MAISHA YAKO:”

Design a site like this with WordPress.com
Get started